Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 8:45 - Swahili Revised Union Version

45 basi, uyasikie huko mbinguni maombi yao na dua yao, ukaitetee haki yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 nakusihi usikie sala yao na maombi yao huko mbinguni, uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 nakusihi usikie sala yao na maombi yao huko mbinguni, uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 nakusihi usikie sala yao na maombi yao huko mbinguni, uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, ukawape haki yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 basi usikie dua na maombi yao kutoka mbinguni, ukawatetee haki yao.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 8:45
6 Marejeleo ya Msalaba  

La hasha! Usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha! Mhukumu ulimwengu wote asitende haki?


Ikiwa watu wako watoka kwenda kupigana na adui zao, kwa njia yoyote utakayowapeleka, wakikuomba, BWANA, kuuelekea mji huu uliouchagua, na nyumba hii niliyoijenga kwa jina lako;


Ikiwa wamekutenda dhambi, (maana hakuna mtu asiyetenda dhambi), hata ukawaghadhibikia, ukawatia katika mikono ya adui zao, wawachukue mateka mpaka nchi ya adui zao, iliyo mbali au iliyo karibu;


Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.


Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.


Wamenenepa sana, wang'aa; naam, wamepita kiasi kwa matendo maovu; hawatetei madai ya yatima, ili wapate kufanikiwa; wala hawaamui haki ya mhitaji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo