1 Wafalme 8:10 - Swahili Revised Union Version10 Ikawa, makuhani walipotoka katika patakatifu, nyumba ya BWANA ikajaa wingu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ikawa, makuhani walipotoka pale mahali patakatifu, wingu liliijaza nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ikawa, makuhani walipotoka katika patakatifu, nyumba ya BWANA ikajaa wingu; Tazama sura |