1 Wafalme 7:5 - Swahili Revised Union Version5 Na milango yote na miimo ilikuwa ya mraba, ilivyoangaziwa; na mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Milango yote ilikuwa ya mraba, na miimo ya madirisha hayo yaliyoelekeana ilikuwa pia ya mraba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Milango yenye miimo ya mstatili ilikuwa upande wa mbele katika safu tatu, ikielekeana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Milango yote ilikuwa na miimo ya mstatili, ilikuwa upande wa mbele katika safu tatu, ikielekeana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Na milango yote na miimo ilikuwa ya mraba, ilivyoangaziwa; na mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu. Tazama sura |