Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 7:35 - Swahili Revised Union Version

35 Na juu ya kitako kulikuwa na duara nusu mkono kwenda juu kwake; na juu ya kitako mashikio yake na papi zake vilikuwa vya namna iyo hiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Juu ya kitako kulikuwa na utepe wa mviringo wenye kina cha nusu dhiraa. Vishikio na papi vilishikamana upande wa juu wa kitako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Juu ya kitako kulikuwepo na utepe wa mviringo wenye kina cha nusu dhiraa. Vishikio na papi vilishikamana upande wa juu wa kitako.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 7:35
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kulikuwa na mataruma manne katika pembe nne za kitako kimoja; mataruma hayo ni kitu kimoja na kitako chenyewe.

Akachora juu ya mabamba ya mashikio yake, na juu ya papi zake, makerubi, na simba, na mitende, moja moja kama ilivyokuwa nafasi, na masongo pande zote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo