Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 7:13 - Swahili Revised Union Version

13 Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Hiramu kutoka Tiro.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mfalme Sulemani akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Mfalme Sulemani akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Hiramu kutoka Tiro.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 7:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli. Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA;


Lakini ni nani awezaye kumjengea nyumba, ikiwa mbingu hazimtoshi, wala mbingu za mbingu? Nami ni nani basi, hata nimjengee nyumba, isipokuwa kwa ajili ya pahali pa kufukizia mafusho mbele zake?


Na Huramu akatengeneza vyungu, sepetu, na mabeseni. Basi Huramu akamaliza kufanya hiyo kazi, aliyomfanyia mfalme Sulemani ya nyumba ya Mungu;


nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo