1 Wafalme 6:30 - Swahili Revised Union Version30 Na sakafu ya nyumba akaifunika na dhahabu ndani na nje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Aliipaka dhahabu sakafu ya vyumba vya ndani na vya nje. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Pia alifunika sakafu zote za vyumba vya ndani na vya nje vya Hekalu kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Pia alifunika sakafu zote za vyumba vya ndani na vya nje vya Hekalu kwa dhahabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Na sakafu ya nyumba akaifunika na dhahabu ndani na nje. Tazama sura |