Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 6:17 - Swahili Revised Union Version

17 Nayo nyumba, ndiyo hekalu la mbele, ilikuwa mikono arubaini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ukumbi mkuu uliokuwa mbele ya chumba hiki ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ukumbi mkubwa uliokuwa mbele ya chumba hiki ndio ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 6:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akajenga mikono ishirini pande za nyuma za nyumba toka chini hata juu kwa mbao za mwerezi; naam, ndani akaijengea chumba cha ndani, yaani, patakatifu pa patakatifu.


Na ndani ya nyumba, mlikuwa na mwerezi ulionakishiwa maboga na maua yaliyofunuka wazi; mlikuwa na mwerezi mahali pote; wala mawe hayakuonekana.


Nayo nyumba kubwa ilizungushiwa miti ya miberoshi, aliyoifunikiza kwa dhahabu safi, juu yake akaichora mitende na minyororo.


Na upana wa maingilio yake ulikuwa dhiraa kumi; na mbavu za maingilio zilikuwa dhiraa tano upande huu, na dhiraa tano upande huu; akaupima urefu wake, dhiraa arubaini, na upana wake, dhiraa ishirini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo