1 Wafalme 5:8 - Swahili Revised Union Version8 Hiramu akatuma watu kwa Sulemani, akasema, Nimeusikia ujumbe ulionitumia; nami nitafanya kila ulitakalo kuhusu miti ya mierezi, na miti ya miberoshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha, Hiramu alimpelekea Solomoni ujumbe, akisema, “Nimepokea ujumbe wako, nami niko tayari kutimiza mahitaji yako kuhusu mbao za mierezi na za miberoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha, Hiramu alimpelekea Solomoni ujumbe, akisema, “Nimepokea ujumbe wako, nami niko tayari kutimiza mahitaji yako kuhusu mbao za mierezi na za miberoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha, Hiramu alimpelekea Solomoni ujumbe, akisema, “Nimepokea ujumbe wako, nami niko tayari kutimiza mahitaji yako kuhusu mbao za mierezi na za miberoshi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hivyo Hiramu akapeleka ujumbe kwa Sulemani: “Nimepokea ujumbe ulionipelekea na nitafanya yote unayohitaji katika kukupatia magogo ya mwerezi na misunobari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hiramu akatuma neno kwa Sulemani: “Nimepokea ujumbe ulionipelekea na nitafanya yote unayohitaji katika kukupatia magogo ya mierezi na misunobari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Hiramu akatuma watu kwa Sulemani, akasema, Nimeusikia ujumbe ulionitumia; nami nitafanya kila ulitakalo kuhusu miti ya mierezi, na miti ya miberoshi. Tazama sura |