1 Wafalme 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Na haya ndiyo majina yao. Mwana wa Huri, mlimani mwa Efraimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Haya ndiyo majina ya hao maofisa tawala: Ben-huri alisimamia sehemu ya milima ya Efraimu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Haya ndiyo majina ya hao maofisa tawala: Ben-huri alisimamia sehemu ya milima ya Efraimu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Haya ndiyo majina ya hao maofisa tawala: Ben-huri alisimamia sehemu ya milima ya Efraimu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Na haya ndiyo majina yao. Mwana wa Huri, mlimani mwa Efraimu. Tazama sura |