1 Wafalme 3:25 - Swahili Revised Union Version25 Mfalme akasema, Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, kampe huyu nusu, na huyu nusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mfalme akasema: “Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, umpe mmoja nusu na mwingine nusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mfalme akasema: “Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, umpe mmoja nusu na mwingine nusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mfalme akasema: “Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, umpe mmoja nusu na mwingine nusu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ndipo mfalme akatoa amri: “Mkate mtoto aliye hai vipande viwili; mpe huyu nusu na mwingine nusu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ndipo mfalme akatoa amri: “Mkate mtoto aliye hai vipande viwili; mpe huyu nusu na mwingine nusu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Mfalme akasema, Mkate mtoto aliye hai vipande viwili, kampe huyu nusu, na huyu nusu. Tazama sura |