1 Wafalme 3:19 - Swahili Revised Union Version19 Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Wakati wa usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia. Tazama sura |