1 Wafalme 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Tazama sura |