Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 22:47 - Swahili Revised Union Version

47 Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Katika nchi ya Edomu, hapakuwa na mfalme. Nchi hiyo ilitawaliwa na naibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Katika nchi ya Edomu, hapakuwa na mfalme. Nchi hiyo ilitawaliwa na naibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Wafiraji wote wa kidini waliosalia tangu nyakati za baba yake Asa, Yehoshafati aliwaondoa nchini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Wakati ule, hakukuwa na mfalme katika Edomu; naibu ndiye alitawala.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Tangu hapo hapakuwepo na mfalme katika Edomu, naibu ndiye alitawala.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

47 Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 22:47
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akamwambia, Mataifa mawili yako tumboni mwako, Na makabila mawili ya watu watafarakana tangu tumboni mwako. Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili, Na mkubwa atamtumikia mdogo.


Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.


Akaweka askari wenye kulinda ngome katika Edomu; katikati ya Edomu yote akaweka ngome, na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye BWANA akampa Daudi ushindi kila kokote alikokwenda.


Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake.


Basi mfalme wa Israeli akaenda, na mfalme wa Yuda, na mfalme wa Edomu; wakazunguka mwendo wa siku saba; wala hapakuwa na maji kwa jeshi, wala kwa wanyama waliowafuata.


Zamani zake, Edomu wakaasi mkononi mwa Yuda, wakajifanyia mfalme.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo