Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 22:21 - Swahili Revised Union Version

21 Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kisha pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kisha pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kisha pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Hatimaye, pepo mchafu akajitokeza, akasimama mbele za Mwenyezi Mungu na kusema, ‘Nitamshawishi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mwishoni, pepo mchafu akajitokeza, akasimama mbele za bwana na kusema, ‘Nitamshawishi.’

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 22:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.


BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.


Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.


Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kufanikiwa pia; ondoka, ukafanye hivyo.


Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.


Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo