1 Wafalme 21:5 - Swahili Revised Union Version5 Lakini Yezebeli mkewe akamwendea, akamwambia, Kwa nini roho yako ina huzuni hata usile chakula? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Yezebeli mke wake akaingia na akamuuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Yezebeli mke wake akaingia na akamuuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Lakini Yezebeli mkewe akamwendea, akamwambia, Kwa nini roho yako ina huzuni hata usile chakula? Tazama sura |