1 Wafalme 21:23 - Swahili Revised Union Version23 Tena BWANA alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “Pia Mwenyezi Mungu anasema kumhusu Yezebeli: ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “Pia kwa habari ya Yezebeli bwana anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Tena BWANA alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli. Tazama sura |