1 Wafalme 21:12 - Swahili Revised Union Version12 Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mbele ya watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu. Tazama sura |