1 Wafalme 20:3 - Swahili Revised Union Version3 Fedha yako na dhahabu yako ni zangu mimi; na wakezo na wanao, walio wema, ni wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 ‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 ‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 ‘Fedha na dhahabu yako yote ni mali yangu; wake zako warembo na watoto wako pia ni wangu.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 ‘Fedha yako na dhahabu yako ni vyangu; nao wake zako walio wazuri sana na watoto ni wangu.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 ‘Fedha yako na dhahabu ni yangu, nao wake zako walio wazuri sana na watoto ni wangu.’ ” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Fedha yako na dhahabu yako ni zangu mimi; na wakezo na wanao, walio wema, ni wangu. Tazama sura |