1 Wafalme 20:21 - Swahili Revised Union Version21 Mfalme wa Israeli akatoka, akawapiga farasi na magari, akawapiga Washami pigo kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, mfalme wa Israeli akashinda vita, akateka farasi na magari ya kukokotwa mengi, na kuwaua watu wa Aramu kwa wingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, mfalme wa Israeli akashinda vita, akateka farasi na magari ya kukokotwa mengi, na kuwaua watu wa Aramu kwa wingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, mfalme wa Israeli akashinda vita, akateka farasi na magari ya kukokotwa mengi, na kuwaua watu wa Aramu kwa wingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mfalme wa Israeli akasonga mbele, akawashinda farasi na magari ya vita ya adui, na kuwasababishia Waaramu hasara kubwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mfalme wa Israeli akasonga mbele na kushinda farasi na magari ya vita na kusababisha hasara kubwa kwa Waaramu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Mfalme wa Israeli akatoka, akawapiga farasi na magari, akawapiga Washami pigo kubwa. Tazama sura |