1 Wafalme 2:25 - Swahili Revised Union Version25 Mfalme Sulemani akatuma kuwa jambo hilo liwe mkononi mwa Benaya mwana wa Yehoyada: naye akampiga, hata akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hivyo Mfalme Sulemani akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akampiga Adoniya akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hivyo Mfalme Sulemani akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akampiga Adoniya akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Mfalme Sulemani akatuma kuwa jambo hilo liwe mkononi mwa Benaya mwana wa Yehoyada: naye akampiga, hata akafa. Tazama sura |