Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 2:16 - Swahili Revised Union Version

16 Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Sasa, ninalo ombi moja tu ambalo nakusihi usinikatalie.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Unaweza kuliomba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi akasema, Wajua ya kwamba ufalme ulikuwa wangu, na Israeli wote wakaniwekea nyuso zao ili mimi nimiliki; lakini sasa ufalme umegeuka kuwa wake ndugu yangu; kwa maana ulikuwa wake kutoka kwa BWANA.

Akasema, Nakusihi nena na Sulemani, mfalme (kwa kuwa hawezi kukukatalia neno), kwamba anioze Abishagi, Mshunami.

Ndipo akasema, Haja moja ndogo nakuomba; usinikatalie. Mfalme akamwambia, Omba, mama; kwa kuwa siwezi kukukatalia neno.

Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi wako.

Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo