Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 19:9 - Swahili Revised Union Version

9 Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Nalo neno la Mwenyezi Mungu likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Ilya?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Huko akaingia katika pango, akalala humo usiku ule. Nalo neno la bwana likamjia, kusema, “Unafanya nini hapa, Ilya?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 19:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, na unakwenda wapi? Akanena, Namkimbia bimkubwa wangu Sarai.


BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?


Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?


Na sasa una nini utakayofaidi katika njia iendayo Misri, kunywa maji ya Shihori? Au una nini utakayofaidi katika njia iendayo Ashuru, kunywa maji ya ule Mto?


Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, kibanda cha wasafiri; nipate kuwaacha watu wangu, na kuondoka kwao! Maana wao ni wazinzi, wote pia, mkutano wa watu wenye hiana.


Ndipo Yona akatoka mjini, akaketi upande wa mashariki wa mji, akajitengenezea kibanda huko, akakaa chini yake uvulini, hadi aone mji ule utakuwaje.


(watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao), walikuwa wakizungukazunguka katika nyika na katika milima na katika mapango na katika mashimo ya nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo