1 Wafalme 18:41 - Swahili Revised Union Version41 Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Ilya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Ilya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele. Tazama sura |