1 Wafalme 18:22 - Swahili Revised Union Version22 Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hapo, Elia akawaambia, “Mimi tu ndiye peke yangu nabii wa Mwenyezi-Mungu niliyebaki, lakini manabii wa Baali wapo 450. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kisha Ilya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa Mwenyezi Mungu aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kisha Ilya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa bwana aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini. Tazama sura |