Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 17:23 - Swahili Revised Union Version

23 Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka ghorofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Ilya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumba chake cha juu, akamshusha, akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Ilya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumbani mwake akamshusha kumpeleka kwenye nyumba. Akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 17:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.


Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.


Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.


Na alipokuwa akishuka, watumwa wake walimlaki, wakisema ya kwamba mtoto wake yu hai.


Akampa mkono, akamwinua; hata kisha akawaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, akiwa hai.


Wanawake walipokea wafu wao waliofufuliwa. Lakini wengine waliumizwa vibaya hata kuuawa, wasikubali ukombozi, ili wapate ufufuo ulio bora;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo