Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 17:21 - Swahili Revised Union Version

21 Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia Mwenyezi Mungu, akisema, “Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia bwana, akisema, “Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 17:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, je! Umemtenda mabaya mjane huyu ninayekaa kwake hata kumwua mwanawe?

akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,

Paulo akashuka, akamwangukia, akamkumbatia, akasema, Msifanye ghasia, maana uzima wake ungalimo ndani yake.

Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, inuka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua hata kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo