1 Wafalme 16:4 - Swahili Revised Union Version4 Mtu amfiaye Baasha mjini mbwa watamla; naye amfiaye mashambani ndege wa angani watamla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mbwa watawala walio wa nyumba ya Baasha watakaofia ndani ya mji, na ndege wa angani watawala wale watakaofia mashambani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mbwa watawala watu wa Baasha watakaofia mjini na ndege wa angani watajilisha kwa wale watakaofia mashambani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mtu amfiaye Baasha mjini mbwa watamla; naye amfiaye mashambani ndege wa angani watamla. Tazama sura |