1 Wafalme 16:32 - Swahili Revised Union Version32 Akamjengea Baali madhabahu katika nyumba ya Baali, aliyoijenga huko Samaria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Akatengeneza madhabahu kwa ajili ya Baali katika hekalu la Baali alilolijenga huko Samaria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Akajenga madhabahu kwa ajili ya Baali katika hekalu la Baali lile alilolijenga huko Samaria. Tazama sura |