1 Wafalme 16:25 - Swahili Revised Union Version25 Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Lakini Omri akatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Lakini Omri akatenda maovu machoni pa bwana na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia; Tazama sura |