Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 16:12 - Swahili Revised Union Version

12 Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la BWANA, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Hivyo, Zimri akawaangamiza jamaa yote ya Baasha, kama Mwenyezi Mungu alivyonena dhidi ya Baasha kupitia kwa nabii Yehu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hivyo Zimri akaangamiza jamaa yote ya Baasha, kulingana na neno la bwana lililonenwa dhidi ya Baasha kupitia nabii Yehu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la BWANA, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii,

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 16:12
11 Marejeleo ya Msalaba  

Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la BWANA, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.


Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.


Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema,


angalia, kuondoa nitawaondoa Baasha na jamaa yake; tena nitaifanya nyumba yako iwe kama nyumba ya Yeroboamu mwana wa Nebati.


Tena neno la BWANA likaja kwa mkono wa nabii Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, na juu ya nyumba yake, kwa sababu ya mabaya yote aliyoyatenda machoni pa BWANA, akimghadhibisha kwa kazi ya mikono yake, kwa kufanana na nyumba ya Yeroboamu, na kwa sababu aliiharibu.


Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa kinywa cha Eliya.


Yeye akaurudisha mpaka wa Israeli toka kuingia kwa Hamathi hata bahari ya Araba, sawasawa na neno la BWANA, Mungu wa Israeli, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Yona mwana wa Amitai, nabii, aliyekuwa wa Gath-heferi.


Basi mfalme hakuwasikia watu wale; maana jambo hili lilitoka kwa Mungu, ili alithibitishe neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati kwa mkono wa Ahiya Mshiloni.


Yehu mwana wa Hanani mwonaji akatoka kwenda kumlaki, akamwambia mfalme Yehoshafati, Je! Imekupasa kuwasaidia waovu, na kuwapenda wamchukiao BWANA? Kwa ajili ya hayo ghadhabu itokayo kwa BWANA i juu yako.


Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza hadi mwisho, angalia, yameandikwa katika salua ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.


Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo