1 Wafalme 16:1 - Swahili Revised Union Version1 Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 21 Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo neno la bwana likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema, Tazama sura |