1 Wafalme 15:8 - Swahili Revised Union Version8 Abiya akalala na baba zake, wakamzika mjini mwa Daudi. Akatawala Asa mwanawe mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwishowe, Abiya alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi na mwanawe Asa akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwishowe, Abiya alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi na mwanawe Asa akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwishowe, Abiya alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi na mwanawe Asa akatawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Naye Abiya akalala na baba zake akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Naye Abiya akalala na baba zake akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Abiya akalala na baba zake, wakamzika mjini mwa Daudi. Akatawala Asa mwanawe mahali pake. Tazama sura |