1 Wafalme 15:5 - Swahili Revised Union Version5 kwa sababu Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa BWANA, wala hakukosa katika yote aliyomwamuru, siku zote za maisha yake, isipokuwa kuhusu Uria, Mhiti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa kuwa Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, wala hakushindwa kuzishika amri zote za Mwenyezi Mungu siku zote za maisha yake, isipokuwa kwa suala la Uria, Mhiti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa kuwa Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa bwana na hakushindwa kushika maagizo yote ya bwana siku zote za uhai wake, isipokuwa katika habari ya Uria, Mhiti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 kwa sababu Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa BWANA, wala hakukosa katika yote aliyomwamuru, siku zote za maisha yake, isipokuwa kuhusu Uria, Mhiti. Tazama sura |