1 Wafalme 15:21 - Swahili Revised Union Version21 Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo akaacha kuujenga Rama, akaenda akakaa Tirza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha ujenzi wa Rama, akaenda kuishi Tirsa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Wakati Baasha aliposikia hili, akaacha kuijenga Rama na akaenda kuishi Tirsa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo akaacha kuujenga Rama, akaenda akakaa Tirza. Tazama sura |