1 Wafalme 15:12 - Swahili Revised Union Version12 Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Akawafukuza mahanithi wa mahali pa ibada za sanamu kutoka nchi, na kuondoa sanamu zote ambazo baba zake walikuwa wametengeneza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Akawafukuza mahanithi wa mahali pa kuabudia miungu kutoka nchi na kuondoa sanamu zote ambazo baba zake walikuwa wametengeneza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake. Tazama sura |