Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 15:10 - Swahili Revised Union Version

10 Akatawala miaka arubaini na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 naye akatawala katika Yerusalemu miaka arobaini na moja. Bibi yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 naye akatawala katika Yerusalemu miaka arobaini na mmoja. Bibi yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Akatawala miaka arobaini na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 15:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.


Hata na Maaka, mamaye, akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.


Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.


Mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala juu ya Yuda.


Yehoshafati alikuwa mwenye miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.


Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka binti Urieli wa Gibea. Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo