Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 13:17 - Swahili Revised Union Version

17 kwani nimeambiwa kwa neno la BWANA, Usile chakula wala usinywe maji huko, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Nimeambiwa kwa neno la Mwenyezi Mungu: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Nimeambiwa kwa neno la bwana: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 kwani nimeambiwa kwa neno la BWANA, Usile chakula wala usinywe maji huko, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 13:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama, akatoka mtu wa Mungu katika Yuda kwa neno la BWANA, akafika Betheli. Naye Yeroboamu alikuwa akisimama penye madhabahu, afukize uvumba.

Mtu wa Mungu akamwambia mfalme, Ujaponipa nusu ya nyumba yako, sitaingia pamoja nawe, wala sitakula chakula, wala sitakunywa maji mahali hapa;

Basi, mtu mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake kwa neno la BWANA, Nipige, nakusihi. Akakataa yule kumpiga.

Kwa kuwa tunawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo