1 Wafalme 12:5 - Swahili Revised Union Version5 Akawaambia, Nendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena. Watu wakaenda zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akawaambia, Nendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena. Watu wakaenda zao. Tazama sura |