1 Wafalme 10:23 - Swahili Revised Union Version23 Basi mfalme Sulemani akawapita wafalme wote wa duniani kwa mali, na kwa hekima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hivyo, mfalme Solomoni aliwapita wafalme wote duniani kwa mali na hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hivyo, mfalme Solomoni aliwapita wafalme wote duniani kwa mali na hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hivyo, mfalme Solomoni aliwapita wafalme wote duniani kwa mali na hekima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mfalme Sulemani alikuwa na utajiri mkubwa na mwenye hekima kuliko wafalme wote wa dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mfalme Sulemani alikuwa mkuu zaidi kwa utajiri na hekima kuliko wafalme wote wa dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi mfalme Sulemani akawapita wafalme wote wa duniani kwa mali, na kwa hekima. Tazama sura |