1 Wafalme 10:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kilo 22,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kilo 22,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kilo 22,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta mia sita sitini na sita (666), Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita, Tazama sura |