1 Wafalme 1:18 - Swahili Revised Union Version18 Na sasa, angalia, Adonia anamiliki; na wewe, bwana wangu mfalme, huna habari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Sasa, tazama, Adoniya anatawala ingawa wewe bwana wangu mfalme hujui kuhusu hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini sasa Adoniya amekuwa mfalme, nawe, bwana wangu mfalme huna habari kuhusu jambo hilo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini sasa Adoniya amekuwa mfalme, nawe, bwana wangu mfalme huna habari kuhusu jambo hilo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Na sasa, angalia, Adonia anamiliki; na wewe, bwana wangu mfalme, huna habari. Tazama sura |