1 Wafalme 1:10 - Swahili Revised Union Version10 ila nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Sulemani ndugu yake hakuwaalika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini, nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Solomoni ndugu yake hakuwaalika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 lakini hakumwalika nabii Nathani, wala Benaya, wala walinzi maalum wa mfalme, wala ndugu yake Sulemani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 lakini hakumwalika nabii Nathani, Benaya, walinzi maalum wa mfalme, wala ndugu yake Sulemani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 ila nabii Nathani, Benaya, walinzi wa mfalme na Sulemani ndugu yake hakuwaalika. Tazama sura |