1 Timotheo 3:9 - Swahili Revised Union Version9 wakiishika siri ya imani kwa dhamiri safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 wakiishika siri ya imani kwa dhamiri safi. Tazama sura |