1 Timotheo 3:5 - Swahili Revised Union Version5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje kanisa la Mungu?) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kundi la waumini la Mungu?) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kundi la waumini la Mwenyezi Mungu?) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje kanisa la Mungu?) Tazama sura |