1 Timotheo 3:13 - Swahili Revised Union Version13 Kwa maana watendao vema kazi ya shemasi hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wale ambao wamehudumu vyema katika huduma ya ushemasi hujipatia msimamo bora na ujasiri mkubwa katika imani yao ndani ya Al-Masihi Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wale ambao wamehudumu vyema katika huduma ya ushemasi hujipatia msimamo bora na ujasiri mkubwa katika imani yao ndani ya Al-Masihi Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kwa maana watendao vema kazi ya ushemasi hujipatia daraja zuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu. Tazama sura |