1 Timotheo 1:14 - Swahili Revised Union Version14 Na neema ya Bwana wetu ilizidi sana, pamoja na imani na pendo lililo katika Kristo Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini Bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini Bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini Bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Neema ya Bwana wetu ilimiminwa juu yangu kwa wingi, ikiambatana na imani na upendo ulio katika Al-Masihi Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Neema ya Bwana wetu Isa ilimiminwa juu yangu kwa wingi, ikiambatana na imani na upendo ulio katika Al-Masihi Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na neema ya Bwana wetu ilizidi sana, pamoja na imani na pendo lililo katika Kristo Yesu. Tazama sura |