1 Samueli 9:17 - Swahili Revised Union Version17 Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia juu zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Samweli alipomwona Sauli, Mwenyezi Mungu akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Samweli alipomwona Sauli, bwana akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia juu yake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu. Tazama sura |
Basi Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akanijia ndani ya ukumbi wa walinzi, sawasawa na lile neno la BWANA, akaniambia, Tafadhali, ulinunue shamba langu lililoko Anathothi, katika nchi ya Benyamini; maana haki ya urithi ni yako, na haki ya ukombozi ni yako; ujinunulie. Ndipo nikajua kama neno hili ni neno la BWANA.