1 Samueli 30:20 - Swahili Revised Union Version20 Naye Daudi akatwaa makundi yote ya kondoo na ng'ombe, ambao waliwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine, wakasema, Hao ndio nyara za Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Akachukua makundi yote ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, nao watu wake wakawaswaga wanyama hao mbele ya mifugo wengine, wakisema, “Hizi ni nyara za Daudi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Akachukua makundi yote ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, nao watu wake wakawaswaga wanyama hao mbele ya wanyama wengine wa kufugwa, wakisema, “Hizi ni nyara za Daudi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Naye Daudi akatwaa makundi yote ya kondoo na ng'ombe, ambao waliwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine, wakasema, Hao ndio nyara za Daudi. Tazama sura |