1 Samueli 3:7 - Swahili Revised Union Version7 Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Samueli alikuwa hamjui Mwenyezi-Mungu bado, wala ujumbe wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa bado haujafunuliwa kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua Mwenyezi Mungu. Neno la Mwenyezi Mungu lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua bwana. Neno la bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake. Tazama sura |