1 Samueli 3:19 - Swahili Revised Union Version19 Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lolote lianguke chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha neno lolote la Samweli lianguke chini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 bwana alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha hata moja ya maneno yake lianguke chini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lolote lianguke chini. Tazama sura |